myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Likes
Sitaki uumie tena brother... Carba yupo hapo kwa ajili yakoMzee andjul unanipa raha sana we Mzee
Andjul[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mzee hafai,shimba alimuamini kweli mzee wa ini, hadi akampa kitengo cha data...kumbe mzee wa ini ana lengo moja tu, fuatilia nyendo za Malikia...
Kwa kweliSitaki uumie tena brother... Carba yupo hapo kwa ajili yako
Nakuangalia tu ujue!!!Yaan sasa hivi nakaribia kudondoka mana bichwa limenizidi uwezo[emoji1][emoji1][emoji1][emoji9][emoji9]
Sawa mkurugenzi wa michezo
HahahaaNIPO porini hapa Rafiki yangu ameng'atwa na NYOKA kichwani,nimemfunga kamba shingoni ili SUMU isisambae mwilini baada ya kurusha rusha mateke na ngumi sasa ametulia katoa macho tuu......... NADHANI SUMU NDIO INAISHIA SASA....... HONGERA WAHENGA....