D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
Nitamuambiaje nimemaliza wakati mwenyewe una sema nikalipe kesho na nyongeza juu?? Utanipoteza ujue???Mwambie ulishamaliza kulipa, asikae anakughasi ghasi hapa. Tena apite vileeeew atuache
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] hata sijui nilitaka nimaanishe nini? Wewe ukikumbuka jazilizia tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yaan
Loh! Hayo mengine ni yetu. We mwambie tu umemaliza na hutaki maswali. Akiwa na swali anione mm msaidizi wako.Nitamuambiaje nimemaliza wakati mwenyewe una sema nikalipe kesho na nyongeza juu?? Utanipoteza ujue???
Kisha kutoka mbinguni zikasikika kelele. Kichwa changu, kichwa chake, kichwa chao. Na mkuu akanena. Kichwa kipi kipo hapa? Na mwenye kichwa ni nani? Makofi yakapigwa, mkuu kakigundua kichwa hakina mwenyewe!" vichwa vya treni 5:77
Gd9tlog out