Alijaribu kupost[emoji3] [emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji1] mkuu ugomvi huo!Hahaha ulikuwa unajaribu
Weeeee...........*Sehemu Katika Mwili Wa Binadamu Iliyo Zungukwa Na Nywele Nyingi Laini Na Inaunyevu Unyevu Ikiguswa Guswa Taratibu Au Kwa Bahati Mbaya Utoa Majimaji Ni (JICHO)endelea kuwaza ujinga wako tu*
Nenda nae taratibu,asije akayaamsha madude ya kisukuma,hali itakuwa mbaya sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkeo mbona ananiandama sana leo[emoji23][emoji23][emoji23]nashindwa hata kudeka kwa Cole
Ahahaha kumbe ndio huwa mnakutana huko? Nimeshajua. Kuanzia sasa ntaanza kulog in kwa akaunti yake.Daaah...subiri nikajipange upya nirud[emoji23][emoji23]utamsindikiza mumeo siasani kule