There is so much strength between me and You[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hapo mama utakuwa umeninyima uhuru wa kupata mitindo mipya[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ahahaha kumbe ndio huwa mnakutana huko? Nimeshajua. Kuanzia sasa ntaanza kulog in kwa akaunti yake.
Naam!Rutashubanyuma
Niliiangalia sikumaliza
[emoji23][emoji23]acha nikae kimya,kumbe kuna madude ya kisukuma[emoji23][emoji23][emoji23]uuuwiiiiNenda nae taratibu,asije akayaamsha madude ya kisukuma,hali itakuwa mbaya sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aakhu!!!!Tena ww ndio una kesi kubwa,kumbe huwa mnakutana kule kwenye siasa?
DuhScaramucci wa Skaramuchi is out! Moochie moochie is out
White House communications chief Anthony Scaramucci removed from post after 10 days, US media report.
Source: BBC NEWS
HahahahaAakhu!!!!