Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
E152
Yaan tena dunia ngeni na unapata mshtuko kuona usaliti usioutegemeaIle movie inakufanya ujiulize je,watu wote wanaosema wanakupenda kama wanakupenda kweli
Kuanzia leo salamu yangu itapitia kwa mkeo,na ubuyu sikuletei mana ukipitia kwa mkeo utakuta ushapoa[emoji23][emoji23][emoji23]Hapo mama utakuwa umeninyima uhuru wa kupata mitindo mipya[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nikipata muda nitaiangalia tenaNzuri sana