mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
HahahahahaNimemkumbuka kichwa kichafu,hiyo picha ilimhusu sana nilivyomuendea Sumbawanga
HahahahahaNimemkumbuka kichwa kichafu,hiyo picha ilimhusu sana nilivyomuendea Sumbawanga
Hahahahanimekutana na hii:-
Sio kila anaekwambia I love you anakupenda, wengine wanajifunza kuongea kingereza.
HahahahahaSalama kiongozi,nimeshaondoka Tky,Mungu akipenda kesho nitakuwa kwa barabara kurudi kwenye mji wa wala chips[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Just salamu mkuuNakuangalia ujue!!! Ungekuwa wewe pangechimbika hapa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kula like KwanzaNafuràhi nikiingia huku maana napata ninachopata
nimekutana na hii:-
Sio kila anaekwambia I love you anakupenda, wengine wanajifunza kuongea kingereza.
Pata likesAhsante mzee wa liver, nimeshakaribia!!
Hahahahahanimekutana na hii:-
Sio kila anaekwambia I love you anakupenda, wengine wanajifunza kuongea kingereza.
My dear22 1
Karibu my dearNimerudi tena kuwapa likes kidogo
Likes for likesNafuràhi nikiingia huku maana napata ninachopata
Hahahahaha myoyaJokes...........!
BAADA YA TALAKA: Mke katuma sms kwa mume wake kuwa pole sana binti uliyemlea miaka 20 sio mwanao nilikubambikizia tu! Mume akajibu kwa furaha, asante Mungu kwani kila siku nilikuwa naumia moyoni kuwa natembea na mwanangu. Sasa nitaoa kabisa....!
Hapo nani imekula kwake zaidi?
AMUN RAMwenye Enzi Mungu ni mwingi wa rehema
AMUN RAAMUN RA
AMUN RAAMUN RA
AMUN RAAMUN RA