Mwenye Enzi Mungu atusaidie tupate chochote katika majadiliano hayoNapita tu hapa nipo najadili na hawa barrick team
huwezi jua
Mwenye Enzi Mungu atusaidie tupate chochote katika majadiliano hayo
Tunahitaji afya bora zaidi kwa mama na Mtoto
Elimu bora zaidi kwa watoto wa hali ya chini
Malazi bora kabisa kwa kila mtu
Prince William