ElPuto Jefe
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 5,285
- 19,471
Kamata Makapuku
Tunawakimbiza kimya kimya, lazima waombee poo..
Usisahau kugonga like..
Kamata Makapuku
Njema Baby S. Za masiku? KaPare ketu hakajambo?Za humu!?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. They are no longer Makapuku....Kamata Makapuku
HahahahahaNaomba ruhusa ya kumsalimia sister ISIS Mzee wa Masaki. Au nikupe tu salamu na utazifikisha?
Nilishampa jibu huyuTukose cha kuandika? Hata namba (ambazo hazina mwisho)? Nukta je?
Acha utani mkuu!
Napita tu hapa nipo najadili na hawa barrick team
huwezi jua
Hello
Nzuri kabisa, nimewamiss tu! Mpate mzima kabisa......ana.....Njema Baby S. Za masiku? KaPare ketu hakajambo?