ElPuto Jefe
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 5,285
- 19,471
Dell
Hahaha dah
Du hizo calculation sijazielewa kabisaKamwe huwa haurudi nyuma. Nimesikia wanasayansi hapa wanajadili dhana ya kubadilisha mwelekeo wa arrow of time ili hatimaye waweze kuunda time machine ambayo itaweza kurudi nyuma. Wanasema makalikyulesheni mengine yanakubali na kinadharia inawezekana japo wanasema bado kuna mitego ya kifalsafa mf. Mtu akitumia time machine akarudi nyuma katika maisha yake na kwa bahati mbaya au nzuri akafanikiwa kumuua babake kabla hajakutana na mama yake, nini kitatokea kwake? Love me some scientists man....!!!
wazima my dearMzima!?
Nimechekaa hadi nimeliaa