Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Muda unasonga
Kamwe huwa haurudi nyuma. Nimesikia wanasayansi hapa wanajadili dhana ya kubadilisha mwelekeo wa arrow of time ili hatimaye waweze kuunda time machine ambayo itaweza kurudi nyuma. Wanasema makalikyulesheni mengine yanakubali na kinadharia inawezekana japo wanasema bado kuna mitego ya kifalsafa mf. Mtu akitumia time machine akarudi nyuma katika maisha yake na kwa bahati mbaya au nzuri akafanikiwa kumuua babake kabla hajakutana na mama yake, nini kitatokea kwake? Love me some scientists man....!!!
 
Back
Top Bottom