Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tayari kwenda kuruka viwanja!
29357aa98451e04626fdb18b600a432d.jpg
 
Ameteua mabilionea wenzake kushika nyadhifa nyingi muhimu na hasa uwaziri na mashirika mengi. Tatizo wengi wao hawana uzoefu wa kiutawala katika serikali na wanafikiri serikali inaendeshwa kama makampuni yao huko walikotoka. Na wazoefu wakijaribu kuwapa miongozo wanatumbuliwa. Bado ni vurugu!
Aisee ni shida mzee wa twita huyu
Akijisikia tu neno kapost
Inawezekana hata kwenye malike yupo
 
Back
Top Bottom