Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

14504706_571724576349605_7638173837820952576_n.jpg
 
Makande ni chakula kitamu sana ukikiwezea jinsi ya kukipika.. Kuna vitu vichache vya kufahamu ili kande zako ziwe tamu na za kipekee. 1. Loweka maharage na kande kwa nusu saa kabla hujayabandika. 2. Hakikisha umeosha kande zako vizuri kuondoka harufu ya mahindi na umechambua vizuri kuepuka mawe na uchafu mwingine. 3. Yaache makande yako yaive vya kutosha hadi pale yanapokuwa malaini kabisa,yasipoiva sana yanachambuka na kutokuwa mazuri. 4. Wakati wa kuunga makande yako,tumia vitunguu na mafuta ya kutosha,hivi vinaleta ladha nzuri. 5. Matumizi ya viungo vingine kama hoho,karoti ni muhimu kuleta ladha ya pekee. 6. Unapotumia nazi hakikisha unaweka tui zito na usijaze michuzi kwenye makande yatakuwa na muonekano mbaya. 7. Ukimaliza kuunga hakikisha unaacha yachemke vizuri kabla hujaepua. 8. Unaweza kuweka peanut butter kwa ladha nzuri. 9. Makande yanapendeza ukiambatanisha na mboga za majani kama vile mchicha au spinach. 10. Hakikisha yanaliwa yangali ya moto.
wanaume wa magetoni somo tosha ilo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shimba wanasema Trump administration ndio Tajiri zaidi kupata kutokea hii imekaaje mkuu
Ameteua mabilionea wenzake kushika nyadhifa nyingi muhimu na hasa uwaziri na mashirika mengi. Tatizo wengi wao hawana uzoefu wa kiutawala katika serikali na wanafikiri serikali inaendeshwa kama makampuni yao huko walikotoka. Na wazoefu wakijaribu kuwapa miongozo wanatumbuliwa. Bado ni vurugu!
 
Back
Top Bottom