Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Siasa. Mchezo wa hatari pengine kuliko yote hapa duniani! Aliingia na mikwara kibao akitishia kumfukuza ye yote ambaye angebainika kuwa anavujisha siri za ikulu. Akawatukana Chief Strategist Bannon na Chief of Staff matusi mazito ya nguoni. Leo naye amejikuta kafutwa kazi.

Uzuri tu hawa wenzetu karibu wote hawa ni mabilionea na hawana njaa kama hawa wanasiasa wetu uchwara. Zitto hakukosea aliposema kwamba kamwe usimwamini mwanasiasa hata kama ni babako mzazi!
Shimba wanasema Trump administration ndio Tajiri zaidi kupata kutokea hii imekaaje mkuu
 
10864796_1056516047712469_2122487187_n.jpg
 
Back
Top Bottom