Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

. Masaaweee alikuwa anatembea kuelekea nyumbani akitokea kazini. Aliwaza moyoni akisema, Mungu nikiokota 1000/- nitakupa 100/- Ama nikiokota 5000/- nitakupa 500/- Ama ukinipa 10000/- nitakupa 1000/- Baada ya kutembea umbali fulani akaokota shilingi 9000/- Massaweee akasema "Mungu wewe ni mjanja sanaaa umeshatoa 1000/- yako kabisa" *Wachaga nyie sio*
 
Back
Top Bottom