Kazi kweli kweliMajina mengine si kuwapa watoto au kucheza nayo mbali kabisa. Hili jina la huyu jamaa na makidai yake limemfanya vyombo vya habari vya US vimtangaze in a very negative way, na wala wachekeshaji wa usiku ndiyo wakammaliza kabisa kwa kumuita moochie moochie lol! Pia jamaa kumbe alichukua tizi la kila anapoongea kuongea kama aliyekuwa boss wake.
Mbaya zaidi jamaa alimtelekeza mkewe aliyekuwa mjamzito na kujifungua mtoto wa kiume tangu ijumaa iliyopita. Hakuwa na mkewe wakati anajifungua na pia hadi hii leo hajamuona mwanae. Mkewe baada ya kuchoshwa na mpuuzi huyu Jumatatu iliyopita alifile for divorce.
Mh! Ndani ya wiki tu unapoteza mke na wadhifa mkubwa na jamii ya Italian Americans wanakung'ong'a na kuomba usingekuwa ni mmoja wao.
Kifo cha nyani miti yote hutelezaMajina mengine si ya kuwapa watoto na ni ya kucheza nayo mbali kabisa. Hili jina la huyu jamaa na makidai yake limemfanya vyombo vya habari vya US vimtangaze in a very negative way, na wala wachekeshaji wa usiku ndiyo wakammaliza kabisa kwa kumuita moochie moochie lol! Pia jamaa kumbe alichukua tizi la kila anapoongea kuongea kama aliyekuwa boss wake.
Mbaya zaidi jamaa alimtelekeza mkewe aliyekuwa mjamzito na kujifungua mtoto wa kiume tangu ijumaa iliyopita. Hakuwa na mkewe wakati anajifungua na pia hadi hii leo hajamuona mwanae. Mkewe baada ya kuchoshwa na mpuuzi huyu Jumatatu iliyopita alifile for divorce.
Mh! Ndani ya wiki tu unapoteza mke na wadhifa mkubwa na jamii ya Italian Americans wanakung'ong'a na kuomba usingekuwa ni mmoja wao.
Aibu sana!Umeona eh! Only 10 days in his new position.
BAKKabisa Madame