mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
HahahahahaYule dogo wa kishua alikua na mbwembwe sana
HahahahahaYule dogo wa kishua alikua na mbwembwe sana
HahahahahaPole shemeji Mungu akufanyie wepesi...nimekaona RB ipo hapa[emoji23][emoji23][emoji23]
00:26Unaanza hivi "Malkia ISIS habari yako....(kwa hisani ya mzee wa liver)". Lakini usione ajabu salaam yako ikajibiwa na mzee wa ini[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nakumbuka kuna siku tulikesha hapa,ISIS alikuwa anawasubiria wageni wake,walifika usiku.Kesho ukamuuliza mama kama wageni wamefika,bila kutarajia,nikashangaa mzee wa liver anajibu " ndio wamefika"[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kweli Masaki haitamuacha mtu salama
Poa mkuu karibuHabari ya humu ndani
00:2823:00
Hahahahaha my Queen jamani tumetoka mbali sio kwenye malikes[emoji23][emoji23][emoji23]wewe ndo mtu mbaya masaki ingekua ya cole[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23]mzee wa ini kawa msemaji wa masaki
DuNakumbuka sana. Siku hiyo ndo nilianza kuhisi kwamba pengine Masaki nitaishia kuisikia na kuiona kwenye redio na TV tu. Asante kwa ushauri kwa sababu nilikuwa na maongezi na malkia ambaye kwangu ni dada tena wa muda mrefu hata Jembekillo hajaanzisha uzi huu. Maongezi ya biashara ya umeme wa betri aliniambia nifuatilie. Huko nikagundua na mengine mazuri tu. Jinsi ya kumpata ndo shida sasa kwa sababu hata PM kamfungia. Nipo kimya tu kwa kweli ila kuomba ruhusa kuongea na dadangu duh inataka moyo sana!
Sio kwa sana lakini yupo mtu anaweza saidia sana nitacheki nayeNamagondo unapafahamu vizuri mkuu. Kuna info natafuta kutoka huko Kisiwani kama utaweza kunisaidia.
Anapoteza muda kwa siasa za nchi yetu asubiri 2025Mwanaharakati anahangaika na dikteta uchwara wake. Tatizo anatumia mafumbo sana mpaka ujumbe kuupata inakuwa ni shida hasa katika uzi huu ambapo watu wako bize kwenda na mtiririko!
Trump ni shidaThat was real quick! Hata wiki hajamaliza. Kazi ipo!
AminaTuwaombee kwa Mungu awafanyie wepesi
Wenzetu wameendelea wanaweza kufanya impeachmentHuyu jamaa sijui itakuwaje serikali yake...atamaliza salama mhula wake?
Duh makubwa! Dada kanigeuka!Mwambie ulishamaliza kulipa, asikae anakughasi ghasi hapa. Tena apite vileeeew atuache
Hapo sawaDada anampenda sana na ana furaha. Hatuwezi kung'ang'ania ng'ombe tu bila kuangalia the whole picture. He is a good family man!
AminaNa tukipata wasaa tujaribu kwenda mahospitalini kuwapa faraja
Hapana. Naona dada naye kanogewa. Basi I have to backoff...Mkuu kumbe alilipa zote
Tatizo la huyu tycoon anataka kufanya white house kama Trump Tower hapo ndipo tatizo linapoanziaDemocrats wenyewe ni mfarakano tupu. Wangekuwa na strategy wangeweza ku-exploit udhaifu wa huyu jamaa kujiimarisha!
Katiba yao iko wazi kuhusu jinsi ya kumwondoa rais madarakani. Akiuvuka huo mstari bila shaka hawatasita kumfurusha kwa sababu sasa wanasema mvurugano huu unaoendelea hata usalama wa Marekani hauko salama. Serikali haiko imara na katika baadhi ya sekta muhimu hata huwezi kujua ni nani yupo in charge. Ni shida!
Tutakuwa pamojaBadae kidogo..ntarudi usiku mkubwa..
Nimefungua milango yote lakini kwa mambo ya business onlyDuh!! Story yako inahuzunisha sana mkuu.Hivi haturuhusiwi kufanya maandamano ili mzee wa ini alegeze msimamo wake?
Nipo tayari hata kumrushia kiatu kuonyesha nakerwa na msimamo wake....