Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Halafu ukikumbuka vizuri mwanzoni,jamaa alikuwa hayupo karibu kama ilivyo kuwa ho chi minh na ISIS,alivyo toka Arusha...bhana bhana bhanaaa....yaani ikawa ni ubabe wa kibubu bubu tu...ghafla bubu akaongea buana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] povu lilimmwagikia ho chi minh hadi tulishindwa kuamulia(nadhani ni ile kutokuamini kuwa bubu anaongea!!!!).Ila pale Masaki unavyoenda kwake kuna kijiuchochoro,kwanini asiviziwe apigwe hata mayai viza ?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahahaha
 
huenda tukapata noah au tukaambulia maneno ya ovyo muda si mrefu kutoka kwa mwenye nchi
20525876_1462450533846634_9065715695606328339_n.jpg
Hata katreni kamoja moja kila mtu
 
Back
Top Bottom