Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mzee wa Masaki kama vile namuona. Mpaka gego la mwisho wallahi !!!
6c01fcd7fa967fff12d847c6eb5dc51e.jpg
Hahahahaha shimba
Natabasamu tu hapa
 
Utakuwa mbali au utakaa na mimi mbali???[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nahisi kama tayari vilee!!!!
Mkeo anaogopa nitavunja ndoa yenu[emoji23][emoji23][emoji23]sijui nabeba[emoji378][emoji378][emoji379][emoji379][emoji380][emoji380]...ila kutokuaminika kwako kunanipa shida mimi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unaanza hivi "Malkia ISIS habari yako....(kwa hisani ya mzee wa liver)". Lakini usione ajabu salaam yako ikajibiwa na mzee wa ini[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nakumbuka kuna siku tulikesha hapa,ISIS alikuwa anawasubiria wageni wake,walifika usiku.Kesho ukamuuliza mama kama wageni wamefika,bila kutarajia,nikashangaa mzee wa liver anajibu " ndio wamefika"[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kweli Masaki haitamuacha mtu salama
Duu
 
Back
Top Bottom