Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
I will Travel around Seven seas for you
cherie neysha....Nimemuona
Hii post ni kwa hisani ya....
Maisha ya uzwazi ndiye yetu hasa sisi tuliokulia ziwaniVipo sana,mzee wa INI anatakiwa akumbushwe maisha ya uswazi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23].Mambo vipi ISIS...(kwa hisani ya mzee wa liver)
Umeona my love huyu anduje ananitafuta sanaJamani!
Uwiii
Kazi kweli kweli
Nzuri mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23]mzee wa ini kawa msemaji wa masakiUnaanza hivi "Malkia ISIS habari yako....(kwa hisani ya mzee wa liver)". Lakini usione ajabu salaam yako ikajibiwa na mzee wa ini[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nakumbuka kuna siku tulikesha hapa,ISIS alikuwa anawasubiria wageni wake,walifika usiku.Kesho ukamuuliza mama kama wageni wamefika,bila kutarajia,nikashangaa mzee wa liver anajibu " ndio wamefika"[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kweli Masaki haitamuacha mtu salama
Tumepoawanaondelea na kazi pia poleni
Nakumbuka sana. Siku hiyo ndo nilianza kuhisi kwamba pengine Masaki nitaishia kuisikia na kuiona kwenye redio na TV tu. Asante kwa ushauri kwa sababu nilikuwa na maongezi na malkia ambaye kwangu ni dada tena wa muda mrefu hata Jembekillo hajaanzisha uzi huu. Maongezi ya biashara ya umeme wa betri aliniambia nifuatilie. Huko nikagundua na mengine mazuri tu. Jinsi ya kumpata ndo shida sasa kwa sababu hata PM kamfungia. Nipo kimya tu kwa kweli ila kuomba ruhusa kuongea na dadangu duh inataka moyo sana!Unaanza hivi "Malkia ISIS habari yako....(kwa hisani ya mzee wa liver)". Lakini usione ajabu salaam yako ikajibiwa na mzee wa ini[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nakumbuka kuna siku tulikesha hapa,ISIS alikuwa anawasubiria wageni wake,walifika usiku.Kesho ukamuuliza mama kama wageni wamefika,bila kutarajia,nikashangaa mzee wa liver anajibu " ndio wamefika"[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kweli Masaki haitamuacha mtu salama
Imekwisha na blue yakejumatatu inaelekea kukamilika
Juma na Roza
Umeelewa hiyo hesabu? Hata kwenye Forex haipo hii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahha