andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Vipo sana,mzee wa INI anatakiwa akumbushwe maisha ya uswazi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23].Mambo vipi ISIS...(kwa hisani ya mzee wa liver)Na Masaki kuna viuchochoro? Mi nilidhani viuchochoro ni huku Mbagala tu? Yeah. We have to do something kwa kweli. Haiwezekani eti hata salamu lazima tupitishe kwake a-approve kwanza. Mayai viza au nyanya mbovu will do! [emoji23][emoji23][emoji23]
Masikini Ho Chi Minh!