The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
Nicolas cage & John travolta
FACE OFF
FACE OFF
Au mtu mwenyewe anajibagua mwenyewe. Binti mrembo kabisa anaamua kujibabua na makemikali ya mkorogo.Wa Dar anambagua wa Mkoani 😀😀😀😀
Na Masaki kuna viuchochoro? Mi nilidhani viuchochoro ni huku Mbagala tu? Yeah. We have to do something kwa kweli. Haiwezekani eti hata salamu lazima tupitishe kwake a-approve kwanza. Mayai viza au nyanya mbovu will do! [emoji23][emoji23][emoji23]Halafu ukikumbuka vizuri mwanzoni,jamaa alikuwa hayupo karibu kama ilivyo kuwa ho chi minh na ISIS,alivyo toka Arusha...bhana bhana bhanaaa....yaani ikawa ni ubabe wa kibubu bubu tu...ghafla bubu akaongea buana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] povu lilimmwagikia ho chi minh hadi tulishindwa kuamulia(nadhani ni ile kutokuamini kuwa bubu anaongea!!!!).Ila pale Masaki unavyoenda kwake kuna kijiuchochoro,kwanini asiviziwe apigwe hata mayai viza ?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Na badoooo !!!
Babe nakumiss ni vile tu sina jinsi leo...hope uko poa na siku yako yaenda salamaStick to your Gun
#ndoayamkopohaitakuachasalama#[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtiririko wa salaam na maombi umeenda vizuri sana.Umeharibu mwishoni kwenye deni.... Hata hivyo ahsante sana
Itabidi tuzoee tu. 2020 siyo mbali.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huenda tukapata noah au tukaambulia maneno ya ovyo muda si mrefu kutoka kwa mwenye nchi
![]()
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hiyo bangi uliyovuta acha kabisa[emoji23][emoji23][emoji23]sio nzur kwa afya yako[emoji23][emoji23][emoji23]halafu acha kuusemea moyo wanguCarba hanipendi kabisa,ila anaumia sana asipo niona[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[HASHTAG]#ndoa[/HASHTAG] ya.......[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilisha lipa ila wote hatukumbuki kama tulisha lipana.nsamaka amesisitiza kuwa nilisha lipa sidaiwi...
Babee[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] mjomba naomba upatikane
HahahahaHalafu ukikumbuka vizuri mwanzoni,jamaa alikuwa hayupo karibu kama ilivyo kuwa ho chi minh na ISIS,alivyo toka Arusha...bhana bhana bhanaaa....yaani ikawa ni ubabe wa kibubu bubu tu...ghafla bubu akaongea buana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] povu lilimmwagikia ho chi minh hadi tulishindwa kuamulia(nadhani ni ile kutokuamini kuwa bubu anaongea!!!!).Ila pale Masaki unavyoenda kwake kuna kijiuchochoro,kwanini asiviziwe apigwe hata mayai viza ?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] 20+15= 35 mahariUlilipa 20 bado 15. Acha ujanja shemeji. Rekodi na makubaliano yote ninayo hapa. Sahihi yako na mashahidi watano. Kama unataka kutudhulumu sema tu ila madhara yake ni makubwa sana!