Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

jamaa alimtoa out mke wake na alikuwa hana kawaida hiyo tokea wafunge ndoa, basi akaanza kuagiza vyakula mbali mbali kwa ajili ya kuburudisha tumbo, cha kushangaza mwanamke baada ya kuona gharama za vyakula ni kubwa na hajawahi kuwekewa fedha ya matumizi isiyozidi 10000/= ilibidi amuulize mume wake kama amebakisha fedha angalau ya kununulia umeme.
suala la kuwatoa out wapenzi wetu linapaswa liendelee hata kama mumeoana miaka 25 iliyopita
 
Hahahaha
 
Carba hanipendi kabisa,ila anaumia sana asipo niona[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] mjomba naomba upatikane
 
Back
Top Bottom