Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

*Sehemu Katika Mwili Wa Binadamu Iliyo Zungukwa Na Nywele Nyingi Laini Na Inaunyevu Unyevu Ikiguswa Guswa Taratibu Au Kwa Bahati Mbaya Utoa Majimaji Ni (JICHO)endelea kuwaza ujinga wako tu*
Aaaah wee vipi umeanza kutembea mlemle baadaye uka divert. Kesho usirudi kutupitisha njia hiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
*Mzee mmoja aliagizwa sidiria na mke wake, alipofika dukani akawa amesahau size gani. Mama muuzaji akamwambia: "Usijali, njoo unishike matiti yangu ulinganishe na hayo ya wife wako labda utakumbuka ukubwa wa sidiria ulioagizwa, "Mzee kuona hivyo akasema: "Niliagizwa na chupi!"*
Pumbafu zake huyo baba, loo!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Screenshot_2017-07-31-11-56-45.png
 
Back
Top Bottom