carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Habari ya asubuhi...natumai u mzima wa afya na nguvu tele...Akibisha nishtue
Mungu akuongoze leo na akupe baraka zake,ufanikiwe kwa kila ulichopanga na upate hela ya kwenda kulipa zile ng'ombe 15 ili niache kukusema[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]la sivyo utarudi siasani...
#ndoayamkopohaitakuachasalama#[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]