The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
I will be back.
Kweli kabisa na hii hali"Kwa wale ambao mlikuwa hamjapokea mshahara, basi angalau leo muupate"
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha'Kwa wale ambao mtapokea hilo fungu leo, mkumbuke kuwahi kurudi nyumbani"
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaha dah*Kuna katoto ka jirani kila nikikatuma dukani lazima kionje. Nilichomtuma juzi nikamwagizia aniletee sukari kakalamba robo nzima.Leo nimekatuma super glue naona kapo tu getini kameshindwa hata kuongea sijui kamepoteza hela* [emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]
Hahahahaha kwa hiyo atalipa sio amelipaAlisema aTAlipa - wakati ujao.
YapGood move
Good my dearest
Mkuu nilikuwa online usiku mwingi sana.. Niaje sasa kumekucha
Nzuri carbaNilikua naimba...habari yako
Nipo mkuu.. Lestorofio Gone misto moudgulf lebrosonfito magreato demito [emoji16] [emoji16]
Dai risiti in JPM voice"Kwa wafanya biashara wote, nawatakia siku na wiki njema kwenye kazi zenu, pambaneni muongeze mitaji yenu na mzalishe tija na mtoe list na simkalipe kodi, kwa faida yenu na watanzania wenzenu"
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna kama mwalimuKwa walimu, nawatakia la kheri, baraka na afya njema kwenye kazi zenu. Jitahidini kutoa kila mnachokijua kwa watoto wetu, jengeni nchi yenu kwenye eneo lenu"
Sent using Jamii Forums mobile app
Morning mkuu karibuGood morning
Watu Wa Mungu
Wazima kabisaKwenu wazima wote lazima
Bwihi [emoji16] [emoji16] [emoji16]Mh. Ghazwat Mbunge wa Kiembesamaki. Nakutakia J'3 njema Mh. Timiza ahadi zako kwa wapiga kyra wako kwa sababu 2020 siyo mbali!![]()