Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Ooooooooh ISIS MOTHER OF MAGIC
YupOoooooooh ISIS MOTHER OF MAGIC
Ndiyo maana inabidi tuwe na tabia ya kujaribu kuwatafuta wadau wanapotoweka. Na wageni wakija tuwakaribishe kwa wema na kuwa-appreciate. The sky is the limit bro na uzi huu utazidi kusonga tukifanya hivyo!Amna nawaza tu bro Bila ya kuwa na consistence ya baadhi ya WADAU humu sizani kama uzi huu ungeendelea
Mtiririko wa salaam na maombi umeenda vizuri sana.Umeharibu mwishoni kwenye deni.... Hata hivyo ahsante sanaHabari ya asubuhi...natumai u mzima wa afya na nguvu tele...
Mungu akuongoze leo na akupe baraka zake,ufanikiwe kwa kila ulichopanga na upate hela ya kwenda kulipa zile ng'ombe 15 ili niache kukusema[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]la sivyo utarudi siasani...
#ndoayamkopohaitakuachasalama#[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jana nilikuwepo kwa sana hila Leo majukumu kwa sanaNoon
Mzee wa liver
Unapiga sana mzigo humu
Big up
Ni kweli bro. Ndiyo maana nami nikajifaragua eti Mbagala is my home. Mzee yule katukuta watu tunaishi kwa amani miaka na miaka sasa hata salamu anataka tuzipitishe kwake. Hii siyo fair kabisa!Tuende wapi sasa na Masaki Mzee wa liver anapiga Pini
Mpende...[emoji23][emoji23][emoji23]Adui
HahahaaUjinga ni kufuta namba ya mpenzi wako kwa hasira wakati ipo kichwani mwako!
Pamoja mkuuMie ndiyo naifanya kazi hiyo sasa hivi. Nataka nipige kama page 10 mpaka 15 hivi.
Carba hanipendi kabisa,ila anaumia sana asipo niona[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahahaha carba