Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hata uwe mzuri wa kupindukia,tabia yako ikiwa mbaya watakuchukia....
Hata mwendo uridhishe mithili ya Twiga..
Bila maelewano mapenzi hakuna kabisa..
Hata jipambe kwa vito ung'ae kama nyota...
Pasipo tabia njema popote watakufuza......

Kuishi na watu vyema hutoharibikiwa..
Milele na milele watakukumbuka....
Maisha ni tabia njema chochote utapata.......×2

Heshima kijana tanguliza kwanza mbele....
Jeuri mbaya oooh..×2

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante
 
24ba11dd7e781efa2387432058f42ce2.jpg
 
Back
Top Bottom