The Icebreaker
Platinum Member
- Apr 24, 2014
- 39,582
- 123,152
TinaTunner
TinaTunner
R Kelly?Kelly Rowland
CuteTina
Ubaguzi huo ulishaisha? Hasa kisaikolojia? Mbaguzi alishapanda mbegu zake na akaenda zake. Mbegu hizo bado zinamea na kustawi vyema in our psyche. Hakuna kilichobadilika!Huo ni ubaguzi wa kiwango cha juu kabisa
sijakimbia
Wa Dar anambagua wa Mkoani 😀😀😀😀Ubaguzi huo ulishaisha? Hasa kisaikolojia? Mbaguzi alishapanda mbegu zake na akaenda zake. Mbegu hizo bado zinamea na kustawi vyema in our psyche. Hakuna kilichobadilika!
Jay zBeyoncé
Halafu ukikumbuka vizuri mwanzoni,jamaa alikuwa hayupo karibu kama ilivyo kuwa ho chi minh na ISIS,alivyo toka Arusha...bhana bhana bhanaaa....yaani ikawa ni ubabe wa kibubu bubu tu...ghafla bubu akaongea buana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] povu lilimmwagikia ho chi minh hadi tulishindwa kuamulia(nadhani ni ile kutokuamini kuwa bubu anaongea!!!!).Ila pale Masaki unavyoenda kwake kuna kijiuchochoro,kwanini asiviziwe apigwe hata mayai viza ?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ni kweli bro. Ndiyo maana nami nikajifaragua eti Mbagala is my home. Mzee yule katukuta watu tunaishi kwa amani miaka na miaka sasa hata salamu anataka tuzipitishe kwake. Hii siyo fair kabisa!