Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
E283
UmeuaNIPO porini hapa Rafiki yangu ameng'atwa na NYOKA kichwani,nimemfunga kamba shingoni ili SUMU isisambae mwilini baada ya kurusha rusha mateke na ngumi sasa ametulia katoa macho tuu......... NADHANI SUMU NDIO INAISHIA SASA....... HONGERA WAHENGA....
My love nilimiss huu mjadala kwa kweliAndjul
Yeuwii
Nalia walahi!
hahahaha
Deal done?Neymar to psg
the great
Duh!! Story yako inahuzunisha sana mkuu.Hivi haturuhusiwi kufanya maandamano ili mzee wa ini alegeze msimamo wake?Nakumbuka sana. Siku hiyo ndo nilianza kuhisi kwamba pengine Masaki nitaishia kuisikia na kuiona kwenye redio na TV tu. Asante kwa ushauri kwa sababu nilikuwa na maongezi na malkia ambaye kwangu ni dada tena wa muda mrefu hata Jembekillo hajaanzisha uzi huu. Maongezi ya biashara ya umeme wa betri aliniambia nifuatilie. Huko nikagundua na mengine mazuri tu. Jinsi ya kumpata ndo shida sasa kwa sababu hata PM kamfungia. Nipo kimya tu kwa kweli ila kuomba ruhusa kuongea na dadangu duh inataka moyo sana!
Amani kwakoNawasalim katika Bwana
Chaguzi za afrika ni kawaidaWaangalizi wa EU wajitoa uchaguzi wa Rwanda wakidai wapinzani wamezuiwa kupiga kampeni na ufinyu wa uhuru wa kutoa maoni