Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
E288
Tatizo barca king ni mmoja tuAende tu,Barça ilikuwepo na itaendelea kuwepo bila Neymar,
Neymar tutamsahau kama tulivyomsahau Di maria.
Likes likesHumu naona kuna watu wanaleta story zao za "personal life" hii ni JF kwa ukumbusho tu...toa likes pata likes.
Carba shahidi,kipindi hicho Kichwa kichafu anataka kuwavisha pete za visoda sammyluv,carba na nsamaka.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kipindi kile kilikuwa na fujo nyingi sanaAisee una data unakumbuka hiyo saga