Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Huyu jamaa sijui itakuwaje serikali yake...atamaliza salama mhula wake?
Democrats wenyewe ni mfarakano tupu. Wangekuwa na strategy wangeweza ku-exploit udhaifu wa huyu jamaa kujiimarisha!

Katiba yao iko wazi kuhusu jinsi ya kumwondoa rais madarakani. Akiuvuka huo mstari bila shaka hawatasita kumfurusha kwa sababu sasa wanasema mvurugano huu unaoendelea hata usalama wa Marekani hauko salama. Serikali haiko imara na katika baadhi ya sekta muhimu hata huwezi kujua ni nani yupo in charge. Ni shida!
 
efef8718b450282ad14f937b245cf962.jpg
 
Kazi IPO..
 
Back
Top Bottom