myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Huyu jamaa sijui itakuwaje serikali yake...atamaliza salama mhula wake?That was real quick! Hata wiki hajamaliza. Kazi ipo!
Huyu jamaa sijui itakuwaje serikali yake...atamaliza salama mhula wake?That was real quick! Hata wiki hajamaliza. Kazi ipo!
Dada anampenda sana na ana furaha. Hatuwezi kung'ang'ania ng'ombe tu bila kuangalia the whole picture. He is a good family man!Naona mkuu unalegeza
Yap my dearMzee wa Liver
Kwani uli....MMEKOSEA Bado Nipo Hai
Usijali sana,nitayamalizaMkeo anaogopa nitavunja ndoa yenu[emoji23][emoji23][emoji23]sijui nabeba[emoji378][emoji378][emoji379][emoji379][emoji380][emoji380]...ila kutokuaminika kwako kunanipa shida mimi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa kabisaNa tukipata wasaa tujaribu kwenda mahospitalini kuwapa faraja
Hahahha[emoji4][emoji4]yan hapa bichwa limeelemea upande mmoja nakaribia kidondoka kwakweli
Salama mkuuHabari ya humu ndani
My princess hata wewe[emoji23][emoji23][emoji23]kumbe mzee wa liver alikua anamipango yake binafsi[emoji23][emoji23]dooh!mzee mbaya yule
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]My princess hata wewe
HILA drama za kikorea zinafurahisha kweliYule dogo wa kishua alikua na mbwembwe sana
Wahenga wana akili hawezi sema hiiWAHENGA WANASEMA NZI AKIACHA UJINGA ATATENGENEZA ASALI