Ground beef and potatoes . . Mahitaji 1.Viazi vikombe vidogo viwili 2. Nyama ya kusaga 1/2kilo. 3. Mafuta ya kula. 4. Karoti 2, hoho 1. 5. Kitunguu maji 1 kikubwa. 6. Chumvi Jinsi ya kuandaa. Weka mafuta yachemke kicha tia viazi,vikaange hadi viwe na rangi ya kahawia. Weka kitunguu,nyama,hoho na karoti kisha kaanga hadi zitakapokuwa za brown. Acha kwa dakika 10 ziive vizuri kisha tia chumvi kiasi. Epua,ipo tayari kwa kula. Unaweza kula na ugali,wali au chapati. Pamoja na kinywaji cha aina yoyote.