Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Nzuri karibuZa jioni wapendwa
Nice words from my QueenAsante kwa upendo my love
Asante sana. Kuna mwanafunzi hapa amesoma Rosa Mistika na anataka kujua zaidi kuhusu kijiji cha Namagondo. Ni Mjerumani na anapanga kutembelea Namagondo kabisa ili kujionea sehemu zilizorejelewa katika Rosa Mistika.Masaki safi kabisa nafurahia uwepo wa my lovely Queen hapa
Ile ishu ya visiwani kesho itakuwa safi nipe details unazotaka