Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Masaki safi kabisa nafurahia uwepo wa my lovely Queen hapa
Ile ishu ya visiwani kesho itakuwa safi nipe details unazotaka
Asante sana. Kuna mwanafunzi hapa amesoma Rosa Mistika na anataka kujua zaidi kuhusu kijiji cha Namagondo. Ni Mjerumani na anapanga kutembelea Namagondo kabisa ili kujionea sehemu zilizorejelewa katika Rosa Mistika.

Kwa sasa habari za jumla tu kuhusu kijiji hicho na kisiwa kwa ujumla. Kuna kitabu cho chote kinachoelezea cho chote kuhusu kisiwa cha Ukerewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…