Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Shemeji Andjul wapi leo?
92342baf4a4c2e90b6d979b5f2105914.jpg
 
Asante sana. Kitamsaidia. Vipi kuhusu source yo yote ya kujifunzia Kikerewe? Hasa salamu na mazungumzo rahisi rahisi?

Wenzetu hawa yaani wakiwa na passion na kitu basi they go for it. Imagine huyu kasoma kitabu tu kikamkolea sasa anataka kujifunza utamaduni, lugha na kutembelea kabisa ili akaone vitu laivu..
Hilo sina hakika kuhusu vitabu vya kujifunzia kikerewe lakini Nina wakubwa wangu so educated nafikiri watatusaidia hili
 
Back
Top Bottom