Asante Numbisa Nina mwaka wa Sita sijawahi kuumwa chochote kwa ajili ya kula chakula boraFaida za matunda kama ndizi, parachichi, embe, zabibu, nanasi, chungwa na papai ni nyingi pengine kuliko madhara mengi kwenye miili yetu.
Hata miye nilitaka kuuliza. Cole njoo utusaidie...Wapi carb..
Even this evening
Hilo sina hakika kuhusu vitabu vya kujifunzia kikerewe lakini Nina wakubwa wangu so educated nafikiri watatusaidia hiliAsante sana. Kitamsaidia. Vipi kuhusu source yo yote ya kujifunzia Kikerewe? Hasa salamu na mazungumzo rahisi rahisi?
Wenzetu hawa yaani wakiwa na passion na kitu basi they go for it. Imagine huyu kasoma kitabu tu kikamkolea sasa anataka kujifunza utamaduni, lugha na kutembelea kabisa ili akaone vitu laivu..