Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kupatikana kwa mapinduzi ya maendeleo na kugundua moto kulileta mambo mengi sana
Ugunduzi wa moto inaaminika na wengi kuwa pengine ndiyo ugunduzi muhimu zaidi kuliko mwingine wo wote ule uliowahi kufanywa na binadamu. Nyama iliyopikwa/iliyochomwa ilimpatia binadamu protini kwa wingi na ubongo wake ukaanza kukua kwa kasi - kasi ambayo hatimaye imeweza kumfikisha katika kilele cha food chain!
 
ed6a022b7e09786adab481f6981ae9a7.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom