Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Moudgulf Ruta
Moudgulf Ruta
Moudgulf Ruta
Ugunduzi wa moto inaaminika na wengi kuwa pengine ndiyo ugunduzi muhimu zaidi kuliko mwingine wo wote ule uliowahi kufanywa na binadamu. Nyama iliyopikwa/iliyochomwa ilimpatia binadamu protini kwa wingi na ubongo wake ukaanza kukua kwa kasi - kasi ambayo hatimaye imeweza kumfikisha katika kilele cha food chain!Kupatikana kwa mapinduzi ya maendeleo na kugundua moto kulileta mambo mengi sana
[emoji4][emoji4]habari ya weweHata mimi nimekumiss mno leo
HahahahahaE223
Tupo Ukhuty. Last time ulisema kuwa ulikuwa unaumwa. Ushapona? Ashukuriwe Mungu!
Tupo Ukhuty. Last time ulisema kuwa ulikuwa unaumwa. Ushapona? Ashukuriwe Mungu!