ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,072
- 858,588
Kazi kweli kweli*"Nawasihi wanaume Wote kuamka na kwenda kufanya kazi ili muwaletee chakula wake zenu na c wao wawaletee chakula. Kumbuka kwa mara ya kwanza mwanamke kumletea chakula mwanaume tulijikuta tumefukuzwa Bustani ya Eden... Usisubir kufukuzwa hapo Ulipo*
Sent using Jamii Forums mobile app