myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Tutawataja hapa wakome!Wakisha pata likes hapa wanaenda kuanzisha uzi mtaa wa pili kutusema,watu bhana
Nilikuwa natest zali shemeji...Umepewa kibali shemeji?au unamchokoza king wa masaki[emoji23][emoji23][emoji23]
AisseehNi shida. Kule Canada wanagawiwa sindano mpya kila siku.
Ndo binadamu huyo. Ni kiumbe mtata ajabu!Wakisha pata likes hapa wanaenda kuanzisha uzi mtaa wa pili kutusema,watu bhana