Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Usiku mwema
Mkuu mpka mida ya wanga nipoNzuri mkuu, nimelinda uzi tangu mapema asubuhi nimebaki mwenyewe tu hapa, sasa nakuachia dhamana hiyo uendelee nayo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unaongelea nini?
Stereotypes....
Hahahha hakuna shida Mkuunpo lusaka nageuka kutoka congo nyakati ya lusaka ni poa sana mkuu
Tatizo mbagalaKulishakucha ila kulikucha na makucha yake. Majukumu kibao. Kilichonileta karibia kinamalizika na maandalizi ya kurudi Mbagala yameanza!