Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Kulishakucha ila kulikucha na makucha yake. Majukumu kibao. Kilichonileta karibia kinamalizika na maandalizi ya kurudi Mbagala yameanza!
Asante bageshi!Chasugu kwa mwanaume anaekuzidi umri.
Cha tata kwa mnaelingana umri
Mwanawasu means wa kwetu.
Mengine nimesahau hahaha
Asante bageshi. Wabeja sana!Nakusalimu kaka
Shukuru wamekukosa kosa japo wanajipanga upya. Wanawake 20+ wote wamekula conspiracy? Acha hizo bana!hv una amini kabisa kila anachokisikia
ile ni mipango ya kuniharibia jina mimi AMERICA'S FAV DAD
18:381826hrs
Vyema pokea like ikufarijiWakuu mnaendeleaje?
Asante mkuu. Ngoja nichacharike kugonga likes sasa!Vyema pokea like ikufariji
auna mkuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ivi huu uzi auna mwisho
na mimi naomba likessss!