Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Asante sana. Kuna mwanafunzi hapa amesoma Rosa Mistika na anataka kujua zaidi kuhusu kijiji cha Namagondo. Ni Mjerumani na anapanga kutembelea Namagondo kabisa ili kujionea sehemu zilizorejelewa katika Rosa Mistika.

Kwa sasa habari za jumla tu kuhusu kijiji hicho na kisiwa kwa ujumla. Kuna kitabu cho chote kinachoelezea cho chote kuhusu kisiwa cha Ukerewe?
Nakusalimu kaka
 
caa65f2c116f7610c39c4eff4d455f53.jpg
13d710b06a56b9ea52e37f965ddece72.jpg
e5363f92d79e6d82c3fccf05a0cc8b58.jpg
3c78f93bf04803a0dfb7579c3390f21f.jpg

Scientists wameweza sisi ngoja tungoje kuiga..
Siyo kila kitu kiwe cha kuiga, vingine waachieni wenyewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom