Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Asante sana. Kitamsaidia. Vipi kuhusu source yo yote ya kujifunzia Kikerewe? Hasa salamu na mazungumzo rahisi rahisi?

Wenzetu hawa yaani wakiwa na passion na kitu basi they go for it. Imagine huyu kasoma kitabu tu kikamkolea sasa anataka kujifunza utamaduni, lugha na kutembelea kabisa ili akaone vitu laivu..
Chasugu kwa mwanaume anaekuzidi umri.
Cha tata kwa mnaelingana umri
Mwanawasu means wa kwetu.
Mengine nimesahau hahaha
 
Back
Top Bottom