Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kama yepi?
Nitakupa mapenzi yenye nyimbo kama ya kihindi, nitakuwa karibu nawe kama kumbikumbi, nitakujali kama daktari afanyavyo kwa mgonjwa, nitakudekeza kama afanyavyo mama mwenye mwana wa pekee, nitakuwa tayari kufuata amri yako wakati wowote. Nitakulinda kwenye kila Shari......

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahah dah hii kali aisee
 
Back
Top Bottom