mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Safi kabisa mzee wa namba 2
Safi kabisa mzee wa namba 2
Kweli kabisa majukumu yalibana sanaNahisi wadau watakuwa wamebanwa sana leo
Wapo watarudiTupo vema ingawa bado tuna mashaka juu ya hali za wenzetu ho chi Minh na Kichwa Kichafu aka KK. kukosekana kwao hapa kumetuachia sintofahamu kubwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kichwa kichafu akirudi atatueleza wapi ho chi Minh yupoho chi minh sijui kimempata nini kwakweli ila KK aliaga alisema hatakuwepo jf kwa muda
AMUN RA7:47
AMUN RA
Wacha kabisa Leo ni shida so busyWalahi majukumu leo!
One meeting after the other!
Karibu my loveI'm back!
23:118:08
AMUN RA
Cole word...WAKATI unapambana na HALI yako usisahau kupambana na Udhaifu wako...#
Nzuri mkuuHabari za usiku
AMUN RA8:11
AMUN RA
HatujamboHamjambo wote
Na kwako pipaHeshima kwenu