Tupo salama kabisa...mzima wewe?Wakuu mnaendeleaje?
Pole sana karibu tenaMajukumu yalikuwa ymenizidia leo.
Pokea like kwanza
Niko mzima shemeji. Naona hapa kumepoa poa na likes ni za kuokoteza okoteza....Tupo salama kabisa...mzima wewe?
Pole sana karibu tena
Bampa to bampaChit chat
Nahisi wadau watakuwa wamebanwa sana leoNiko mzima shemeji. Naona hapa kumepoa poa na likes ni za kuokoteza okoteza....
Salama tu
Vipi kwema lakini, maana leo umechelewa kuja hapa?Kulishakucha ila kulikucha na makucha yake. Majukumu kibao. Kilichonileta karibia kinamalizika na maandalizi ya kurudi Mbagala yameanza!
Maisha bhana kimfaacho Mtu chake. Numbisa on the MakingWatu wanaopenda tabia ya umbea huenda wakawa wamepata mtetezi. Ripoti iliyotolewa hivi karibuni kuhusu tabia ya watu kupenda kutumia muda mwingi kusema mambo ya watu wengine, inasema tabia ya umbea ina manufaa kiafya.
Am okay love how was your dayHabari ya wewe...