Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Lishakuwa tatizo na hali hii ikiendelea uzi huu hautakuwa na maana tena. Watu wanakuja, wanapost halafu wanasepa..
1f18d6820326809119f0789d778a5c79.jpg
Hasa wageni wa Uzi huu ni shida kigodo lakini sio sana likes zipo
Nimeona muda wadau wengi wakiwa online likes zinakuwepo tu lakini wakiwa wachache zinapungua
 
Good morning my darling
Jana nilizimika mapema
Akili ili choka sana
Wayahudi time is money
Kitu cha three days
Wakapiga one day!
Walahi ni watu wa kuigwa kabisa!
They are amazing people
Watu walio na maendeleo tusikae nao mbali
Ili watupe upako wa maendeleo yao!
Na SISI ipo siku watanzania tuta kuwa kama wao
Vipawa na mali
Walahi tena naamini
JUA LA REHEMA LIMEIANGAZIA NCHI YANGU TANZANIA MILELE YOTE
 
Back
Top Bottom