mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
AMUN RA8:33
AMUN RA
Judge number 54
UNIVERSE is on my side forever
That my Team
Zipo mkuuLikes hakuna!!!!
Siasa siasa tu kiukweli jamaa ni mzuriSiyo kweli. You are too pessimistic.
Uchaguzi si ni 2020. Kama ni mbaya hivyo 3 years to come, throw him out!
Hasa wageni wa Uzi huu ni shida kigodo lakini sio sana likes zipoLishakuwa tatizo na hali hii ikiendelea uzi huu hautakuwa na maana tena. Watu wanakuja, wanapost halafu wanasepa..
Pole my dearAsante kwa kweli
Akili imechoka kidogo!
Ita bidi ni retire mapema!
Ngoja tusukume uzi wetu pendwa!
Good morning my darlingAMUN RA
Nimegundua hilo muda wanawapptezea tuSYB umeona..wanatojea jukwaa jingine wanaposti nyingi wanasepa..wanajua watapewa likes tu
Sawa kabisaTuendelee tu kuwakumbusha. Hakuna namna!